Safari ya Mguu Kuelekea Kisiwa Chenye Majini/Demons
180 views
1 month ago
20
Subscriber
Pembezoni mwa Fukwe za Jiji la Dar es Salaam, kuna visiwa kadhaa ambavyo havikaliwi na watu, moja kati ya kisiwa hicho inasemekana huwa kina majini na yanaishi hapo. Niliamua kufunga safari kwa Mguu mpaka kwenye Kisiwa hicho Kijihakikishia, Je ni Kweli kuna Majini au LA. Tazama Video Hii Mpaka Mwisho
We may use cookies or any other tracking technologies when you visit our website, including any other media form, mobile website, or mobile application related or connected to help customize the Site and improve your experience. learn more
0 Comments